Romans 12:6-7

6 aTuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani. 7 bKama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe,
Copyright information for SwhKC